hapa nassoro aliambiwa aseme machache |
hapa nilikuwa namuangalia admin wangu akipa picha |
chezeya main branch tuko juuuu customer care,tukiwakilisha fnb |
dora naye alijumuika nasi it was fantastic!!!! |
bila kumsahau baba lao george |
baome mtoto wa kuleeee akiongea utapaenda |
sima kilaza akitoa mawazo yake |
tina's hair do is wow ila na rangi yake inaendana ,we kama mweusi kama mimi no BIG NO |
NJEMA NAYE ALIIWAKILISHA BACK OFFICE |
ALIONGEAJEEE SASA!!!1 |
EZEKIEL JEMBE LENYEWE LILILOTUFANYA SIKU HIYO TULE MAJIKEKI MAWILI HAHAHAAA |
NAOMBA MTAMBUE HUYU KAKA UPANDE WA SALES COMMECIAL ANATISHAAA |
HII NI CERTIFICATE ALIYOPEWA NA BRANCH,IMESAINIWA NA BM NA BA |
HUYO NI SUPERVISOR WA ZEKIEL CHEZEYAAA TINA UNATISHA MAMA |
DEOOOO |
MAMA NANCY NAYE ALIKUWEPO KUWAKILISHA HR DPT |
CHEZEYA DORAAAA MKOOOO JUUU |
main branch mnatishaa sana mko juuu
ReplyDeletetunatisha si kidogo kwa account namba moja mambo yetu blaaaaaa
DeleteMSIJISHAUEE SISI NDO TUMEWAFUNDISHA KAZI ALAFU MNALETA NGWENGWE SUBIRNI RESHUFFLE MTAONA,HAPO MNAPATA ADVANTAGE KWASABABU MKO MJI ...............MMMSSFFFYUUUU
ReplyDeletehongera ezekiel,mungu akusaidie kuweza kufanya vizuri zaidi.....yo my pride!!!!
ReplyDelete