Monday, 5 November 2012

EZEKIEL AND GISELA'S DAY AT MAIN BRACH KWA WATOTO YA MIJINI!!!!


hayo ni mambo makubwa yanayofanywa na watoto ya main branch ....upo hapo ????


hii ni keki ya ezekiel kamma mfanyakazi bora katika branch yetu,tulipiga kura na ezekiel aliibuka kidedea kwa kura 20 uko juuu brother shikamooo


hii ni keki ya gisela na ezekiel baada ya kupata nyadhifa za juu saaa mnatishaaa kama branch tuliamua kuwapongeza


hapa watu wakisubiri mambo yakae sawa mmemuona zoro???????




njema na sima mnatishaaaa


chezeyaa mama k sambamba na na mama nicole


simaaaaa tueleze huo mkono unafanya nini utapigwaaa



hapa ezekiel aliitwa kwenda kuongea machache
MORE PIC TO COME REFRESH

1 comment: