Thursday, 25 October 2012

HAPPY!!!HAPPY!!TO SIMA

mtoto aliezaliwa kesho yake


siku ya kuzaliwa kwa sima


sima grace maria na brian.wametokelezeajeeee


this pic is nice mnatishaaa watoto ya mujini


twin na kilaza


sima na sweet hilo ni jina lake jamani mmmmmh


G,B and Mama ima ndani scarf print mambo ya mujini hayooooo



I like this picture is mwaaaa mko juuuuu
HAPPY BIRTHDAY YA SIMA BAADA YA KUPIGA PICHA TUKAINGIA MAKULAJI
Anatimiza miaka 50


Zoro udenda ukiwa unamtokaaaa



grace akijaribu kumpiga sima baada ya kunyimwa keki

Watoto ya mujini mnatikisaaaa sana


Hapa akiimbiwa  "happy birthday to youuu!!!!


Mtoto anaongea balaaa


mama k akiandaaa vipande huyu ni mama wa shughuliiii

Sweet alikuwa wa kwanza kulishwaaa


BB akipokea jiugonjwaaa


Baome naye hakuwa nyuma


BM alikuwepo ingawa alikuwa bize


Wtoto ya mujini ni blaaaaaaaaaaa


njema umetokelezeaaaa



MTOTO MZEE AKIONDOKA NA KUSHUKURUUU AKA SIM OR KILAZA


1 comment:

  1. pic zote nikaliiiiiiiiiiii
    naka-enterprise umetishaaa.......

    ReplyDelete