Sunday, 1 April 2012

SIKU YA DIAMOND


 NAMPENDA SANA WEMA THOUGH WATU WANAMCHUKIA ILA WHAT DIAMOND DIDI WAS NOT GOOD AT ALL







JOKETI NA MAMA WA DIAMOND


MAMA U-TURN MANGE UKO JUUUUUUU




WEMA DUU KAPOZI KIMYA MASKINI

WEMA ALIENDA KUMTUNZA DIAMOND U KNOW WHAT ALIKATAA KUPOKEA IMENIUMA SANA KAMA MWANAMKE HATA KAMA WAMEACHANA.//??????????

WEMA AKIWA BADO AMESIMAMA NA WAANDISHI WA HABARI WAMEMZUNGUKA LOOL POLE WEMA


WEMA ALISINDIKIZWA NA MEDIA BAADA YA DIAMOND KUKATAA JITIE NGUVU AT LEAST HUKUONYESHA USHAMBA UKO JUUUU


CHEKI MASHOST LOOOL MMMMMMMMMMMM

YAANI WALIZIDI KUFURAHIA BAADA YA WEMA KUKATALIWA THATS NOT GOOD KWA WANAWAKE

AIBU ILIMSHIKA AKAANZA KUJIPENDEKEZA KWA WEMA TENA


WEMA ALINYANYUKA KWELI HUYU MTOTO MZUNGU NINGEKUWA MIE MMMM



MWISHONI AKAENDA KWENYE MEZA YA WEMA DUUUU POLE MOMY

WEMA ANA SMILE TUUU

DAAAA  THE END


No comments:

Post a Comment